gossips

“Alishuka akipotea after ameitishwa fare ndio Canter Lorry ikamgonga” last person with Brian Chira explains what happened

“Alishuka akihepa po ameitishwa fare ndio canter ikamgonga”

A first-hand eyewitness finally gave a step-by-step account of what happened leading up to Brian Chira’s death.

In an interview with host Ali, the guy aliwa anaenda kutulia hapo club is called Exo, akachukua msee wa pikipiki,

Ali palipofika hapo Exo akaya kuna kijana anatolewa nje ya club akamwanglia akamjua ni

Brian Chira hadi akamuita na Brian akakahawa.

Exo walikua wanafunga so ikabidi kijana yetu pia arudi mtaa and it was 2:53 in the morning bit Chira akamwambia bro, nisaidie nifike home Chira alikua mlevi.

Kuna soldier walikua hapo wakaambia jamaa now unamjua hadi jina msaidie afike home huyu venye amelewa hataeza kufika.

Our guy ikabidi sasa asongea Chira kwa motorcycle warudi wadropiwe yeye akirudi mtaa na time wamefika junction ikabidi Chira ashuke aende kwake ju our guy kwake ni another way,


but Chira akamuomba please bro nifikishe hapo mbele kiasi and that happened.
Kufika hapo mbele ju boda yeye ako kazi, wakasimama Chira akashuka na jamaa wa boda akaitisha pesa kutoka kwa Chira.

Kumbe Chira hakutaka kulipa akaamua kutoka mbio bila laksara strana ya nyumba kama kuna gari inakuja.

Kumbe time Chira anatoka, maskini wa Mungu canter ya white pia ilikua imekujja kwa kasi sana na wakapatana ana kwa ana,

Chira akapitwa na yeye mbaya mbovu na hii time yote our guy anasehidi kila kitu.

Jamaa wa boda kuona hiko, wueh, alitoka mbio zinye adaba, but our guy akaya apana huyu jamaa namjua is no longer there namuacha hapa.

Akacall 911 this is the headquarters at akapewa number for wa Banana police,, hao ndio walikua within pia venye aliona Chira kugongwa amegongwa,
there is no doubt that he died on the spot.

Police wakakuja at 4:00 wakachukua mwili wa Brian na jamaa wetu pia akaenda police akakaa huko hadi in the morning na Brian akawa ashapeluwa city morgue.