Katika jamii nyingi za Kiafrika, kuna msemo unaosema “huyu ni mtoto wetu” kuashiria uhusiano wa kijamii, kikabila au kihistoria. Kauli kama hii hutumiwa kuonyesha ukaribu na mshikamano. Hata hivyo, katika siasa, uhusiano wa damu, ukabila au kihisia haupaswi kuwa tiketi ya kuongoza. Hapa ndipo kauli kwamba Natembeya, Wetang’ula na Mudavadi ni watoto wetu lakini kwa […]