Bizzare

‘Shock As TZ Man Who Predicted Brian Chira And Rita Tinina Deaths Says Atwoli is Next Ajichunge’

Kumbe (Tiba asili) alikuwa ametabiri Vifo vya awa jamaa sasa uyu wa mwisho Atwoli ajichunge maana wwnzake wawili wamefariki Jana na Leo
Brian Chira alipata ajari Jana na akapoteza maisha.

Tiba Asilia


Uyo wa kike n Journlist maarufu uko Kenya kama (Tiba asilia) alivyo taribi nae mwili wake umepatikana leo akiwa amepoteza misha
Hivyo Uyo ATWOLI inatakiwa awe makini TUMUOMBEE YASIMKUTE MBAYA PIA🙏🙏

Tiba asilia Bada ya Yote haya kutokea amefuta post hiyo kwenye Ukurasa wake wa Facebook ambapo post hiyo aliipost mwishoni mwa mwaka uliopita.

Rita Tinina


‼️Tiba asilia ameonya vikali watu wanaomfikilia vibaya kutokana na utabiri alioufanya katika post yake alioipost Leo baada y kufuta post iliyopita.
Kwa Kenya News..Memes…Na burudani Endelea kufuatilia MILTON News.